Swala hilo lilijadiliwa kwa kina, katika mkutano ulio jumuisha viongozi wa serikali za shirikisho, mikoa namajimbo.
Wito watolewa kwa waaustralia waungane kukabiliana na coronavirus

Viongozi waserikali zote nchini wajadili jibu la coronavirus Source: AAP
Hata wakati mfuko wakupiga jeki uchumi unatolewa kulinda uchumi wa Australia, mtazamo wa jibu hilo kwa sasa unageukia kufanyia tathmini mikutano inayo jumuisha watu wengi.
Share