Idadi hiyo itajumuishwa katika takwimu za jumma nne 5 Januari. Maafisa wa afya jimboni humo wame jpa changamoto, yaku fanya vipimo elfu hamsini kwa siku.
Utoaji wa chanjo hiyo umehojiwa na chama cha upinzani cha shirikisho ila, Bw Kelly ametetea muda ambao serikali imeweka, akisema ni muda wakihafidhina. Chanjo zinatarajiwa kufikishwa nchini Machi, hatakama bado hazija idhinishwa na mamlaka husika yamadawa.
Kwa misaada yakiafya iliyopo kwa sasa, kwa jibu la janga la COVID-19 katika lugha yako, tembelea tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus.