Wito waongezeka kufanya udhibiti wa kulazimisha uwekosa la jinai

Mwanamke alia wakati mumewe anamkaripia

Mwanamke alia wakati mumewe anamkaripia Source: Getty

Wanaharakati wakupinga ukatili wa nyumbani, wanataka tabia zakudhibiti ambazo maranyingi hufuatwa na unyanyasaji wakimwili zifanywe kuwa jinai.


Ila, wafanyakazi watamaduni mbalimbali wamesema mapengo katika sheria na huduma, zinawafeli wahamiaji wenye viza za muda mfupi.

Unaweza tazama makala ya runinga ya SBS kwa unyanyasaji wa nyumbani kwa jina la 'See What You Made Me Do', kesho jumatano 5Mei2021 saa mbili unusu. Unaweza tazama makala hayo kwenye runinga ya SBS au kwenye mtandao wa On Demand wa SBS. Makala hayo yataoneshwa kwa wiki tatu, tarehe 12 na 19 Mei 2021, na yatarudiwa tena kila jumapili saa tatu unusu usiku kwenye SBS VICELAND.

Kama wewe, mtoto au mtu mwingine yuko hatarini, pigia simu namba hii 000, na kama wewe, au mtu mwingine unaye jua anahitaji msaada, tafadhali wasiliana na shirika hili 1800 RESPECT namba hiyo ni 1800 737 732 au tembelea tovuti yao 1800RESPECT.org.au

Watoto wanaweza pata msaada kupitia shirika hili Kids Helpline, namba yao ya simu ni 1800 55 1800 au tembelea tovuti yao kidshelpline.com.au Wanaume wanaweza pata msaada kwakupigia simu shirika la Men’s Referral Service, 1300 766 491 au wanaweza tembelea tovuti yao ntv.org.au

Unaweza pata msaada pia, ukiwasiliana na shirika la Lifeline kupitia namba hii 13 11 14 au kwenye tovuti yao: www.lifeline.org.au

 


Share