Wiki ya wakimbizi, ni kilele cha shughuli kila mwaka nchini Australia, kuelimisha umma kuhusu wakimbii pamoja nakusherehekea michango chanya inayo tolewa na wakimbizi katika jamii ya Australia.
Mandhari ya Wiki ya Wakimbizi ya 2022 ni Uponyaji.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa baraza lawakimbizi la Australia (RCOA) Adama Kamara, akiwa pamoja na baadhi yamabalozi wa Wiki Yawakimbizi 2022 Source: RCOA
Mandhari ya Wiki ya Wakimbizi ya 2022 ni Uponyaji.
SBS World News