Wiki ya NAIDOC- Ponya Nchi!

Bango ya wiki ya NAIDOC

أستراليا تحيي أسبوع النايدوك Source: SBS

Wiki ya NAIDOC ni tukio maarufu kwenye kalenda ya Australia.


Tunasherehekea Wiki ya NAIDOC kila Julai kutambua historia, utamaduni na mafanikio ya Waaboriginal na watu wa Kisiwani yaani Torres Strait.

Ponya Nchi! ndio kauli mbiu ya mwaka 2021.

Kipindi hiki cha Mwongozo wa Makazi kinachunguza jinsi unaweza kutembelea, na kuonyesha heshima kwa sehemu za Waaboriginal zenye umuhimu ambazo zinaweza kupatikana kwa miji yetu.


Share