Waziri Mkuu Scott Morrison amesema matumizi makubwa ya teknolojia hiyo, yataruhusu vizuizi vya coronavirus kuondolewa.
Waziri Mkuu asema "ni huduma kwa taifa kutumia app yakufuatiliwa"

Source: AAP
Serikali ya shirikisho inataka angalau asilimia 40 yawa Australia wapakue app yakufuatiliwa katika simu yarununu, kwa ajili yakusaidia kuwatambua watakao kuwa wamekutana na watu ambao wana Covid-19.
Share