Waziri Mkuu akataa kuongeza muda wa mfumo wa JobKeeper, ila haja tupilia mbali wazo hilo

Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrisson, atoa taarifa kuhusu hatua zakukabiliana na Covid-19

Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrisson, atoa taarifa kuhusu hatua zakukabiliana na Covid-19 Source: Getty images

Waziri Mkuu Scott Morrison amesema nimapema kufanya mageuzi kwa mfumo wa Jobkeeper, hata hivyo haja tupilia mbali wazo lakufanya mageuzi hayo.


Mradi huo wa ruzuku ya mshahara wenye thamani ya dola bilioni 130, uta tumiwa hadi Septemba ila, chama cha Labor kimeomba muda wa mfumo huo uongezwe.

Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii sbs.com.au/coronavirus


Share