Je ni changamoto gani zinawakabili watu ambao wanajiweka katika karantini, kama sehemu yakukabiliana na usambaaji wa virusi vya corona?
Aupulent alirejea nchini sikuchache zilizo pita, nakupata nchi ikiwa katika mazingira tofauti nayale aliyo acha. Amekuwa katika karantini ndani ya chumba kimoja nyumbani kwake, ambako alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS uzoefu wake katika karantini.