Watu 3000 wawekwa ndani ya karantini ya lazima ya Coronavirus, Victoria

Jeshi lapolisi latekeleza amri yakarantini katika majengo ya umma ya kitongoji cha Flemington, Melbourne

Jeshi lapolisi latekeleza amri yakarantini katika majengo ya umma ya kitongoji cha Flemington, Melbourne Source: AAP

Australia imepitia moja yasiku yakiajabu, katika muda huu wa janga la coronavirus.


Ongezeko lingine kubwa la visa jimboni Victoria, lime lazimisha mamlaka jimboni humo kuchukua hatua kali.

Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus, katika lugha yako kwenye tovuti hii: www.sbs.com.au/coronavirus.


Share