Taasisi za elimu ya juu zitapunguza gharama ya baadhi ya mafunzo kuanzia mwezi ujao wa Mei, kwa ajili yakujaza pengo za ujuzi nakusaidia uchumi kupona, janga la coronavirus litakapo isha.
Wakati huo huo mweka hazina wa taifa Josh Frydenberg, amesema serikali haina mipango yakubadili sheria zilizo tangazwa kama sehemu ya mfuko wake wa JobKeeper.