Wanasiasa warejea Canberra, bunge linapo karibia kuanza vikao

Wabunge washiriki katika kikao cha bunge la taifa, chini ya sheria zawatu kujitenga mita tatu mjini Canberra, ACT.

Wabunge washiriki katika kikao cha bunge la taifa, chini ya sheria zawatu kujitenga mita tatu mjini Canberra, ACT. Source: AAP

China inatishia kuwawekea wakulima nchini Australia vikwazo.


Wakati huo huo serikali inazingatia hatua yakupunguza baadhi ya hatua zake, zajeki zenye thamani yamabilioni ya dola.


Share