Janga hilo pia limefanya maisha yawe magumu zaidi, wengi wa wanafunzi husika wakiripoti kupoteza ajira pamoja na hofu yakupoteza makazi yao.
Wanafunzi wengi wakimataifa wamepitia uzoefu wa ubaguzi wa rangi wakati wa janga la COVID-19

Wanafunzi washiriki katika sherehe yakuhitimu chuoni Source: AAP
Utafiti mpya uliowashirikisha zaidi ya idadi yawanafunzi elfu sita wakimataifa nchini Australia, umepata kuwa wengi wao wanakabiliana na ubaguzi wa rangi kwa sababu ya COVID-19.
Share