Wanasema watu wengi wenye viza za mpito, hawajui hakizao na bila msaada wa chama kipya kilicho undwa kuwasaidia wangesalia bila makazi.
Kama unakabiliana na changamoto kifedha, Tembelea tovuti hii kwa msaada www.moneysmart.gov.au au pigia simu namba yakitaifa ya msaada wa deni. Namba hiyo ni: 1800 007 007.