Moja ya hatua hizo nikutoa amri yamarufuku yakutoka nje, kuanzia saa mbili usiku hadi saa kumi na moja alfajiri. Viongozi wamesisitiza uamuzi huo haukuchukuliwa kwa wepesi, ila jukumu lao la kwanza nikuzuia usambaaji wa virusi katika jamii pamoja nakulinda umma.
Kujua jinsi wakazi wa Melbourne wamepokea mari hiyo, Idhaa ya Kiswahili ilizungumza na Bw Hozey, ambaye aliweka wazi hisia zake kwa amri hiyo pamoja na juhudi nzima yakulinda jamii dhidi ya maambukizi ya COVID-19.
Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.