Wahamiaji waondoka Australia kwa sababu ya sheria za mipaka

Wasafiri watembea ndani ya uwanja wa ndege wakimataifa wa Sydney

Wasafiri watembea ndani ya uwanja wa ndege wakimataifa wa Sydney, Australia Source: AAP

Uamuzi wa serikali ya madola kutofungua mipaka yakimataifa hadi katikati ya mwaka ujao, umekuwa pigo la mwisho kwa wahamiaji wengi ambao wamesema, hawawezi subiri hadi wakati huo kuwaona jamaa wao ng'ambo.


Wengi wameondoka tayari milele nchini Australia au wanazingatia jinsi yakuondoka, hatua ambayo ni pigo lingine kwa uchumi unao wahitaji wafanyakazi wenye ujuzi.

Vinginevyo, wahamiaji wanasema wata endelea kuigeuzia Australia migongo.


Share