Wa Australia wakaribisha utoaji wa chanjo ya kwanza ya COVID-19

 Mradi wa chanjo ya COVID-19

PM Scott Morrison receives the COVID-19 vaccine. Source: AAP

Uzinduzi wa chanjo ya COVID-19 nchini Australia, umepokewa kwa afueni na matumaini na jamii yakimatibabu, pamoja na watu wa kwanza walio pokea chanjo hiyo.


Walio pokea chanjo hiyo walichaguliwa kutoka kundi la watu, ambao wako hatarini zaidi katika jamii ya Australia.

Kwa hatua zaki afya na msaada unao tolewa, katika jibu la janga la COVID-19, katika lugha yako, tembelea tovuti hii: sbs.com.au/coronavirus


Share