Vizuizi zaidi vya coronavirus vyaondolewa nchini Australia

Darwin

Darwin residents lapped up the return to normality as the Northern Territory eased coronavirus restrictions Source: AAP

Vizuizi vya ziada vya coronavirus vina ondolewa kote nchini Australia, wakati mamlaka wana geuza mtazamo wao kwa harakati zakupunguza maambukizi ndani ya jamii.


Wakazi wa Victoria wanao ishi chini ya vizuizi wataweza, wanaweza jiburudisha mtandaoni kwa hisani ya serikali ya jimbo hilo.

Kifaa cha mtandaoni kwa jina la Victoria Together, kitatoa makala ya vichekesho, muziki pamoja na aina zingine za burudani.

Idadi ya vifo nchini kote kwa sasa imefika 93. Katika idadi ya visa 6,766 vilivyo thibitishwa, 85% yavyo tayari vimepona. Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu Coronavirus kwenye tovuti hii sbs.com.au/coronavirus


Share