Vizuizi vyakujumuika katika umma, vyatangazwa katika jibu la virusi vya corona

Sheria mpya za umma zatolewa kukabiliana na virusi vya corona

Waziri Mkuu Scott Morrison (kulia) na Waziri wa Afya Greg Hunt (kushoto) wazungumza na waandishi wa habari Source: AAP

Idadi ya watu wanaoruhusiwa kujumuika katika umma imepunguzwa kutoka watu kumi hadi watu wawili, chini ya vizuizi vipya vyakukabiliana na virusi vya corona ambavyo vilitangazwa na baraza lamawaziri lakitaifa.


Watu wenye umri wa zaidi ya miaka 70 wameshauriwa wabaki nyumbani nawajitenge, wakati patakuwa pia marufuku kwa muda wa miezi sita kwa wenyenyumba kutowafukuza wapangaji.

Unaweza endelea kupata taarifa kuhusu virusi vya corona katika lugha yako kupitia tovuti hii sbs.com.au/coronavirus.


Share