Kupitia vizuizi hivi, baba wengi wamegundua kuwa wanaweza tumia wakati mwingi zaidi kuwahudumia nakuwalea watoto wao.
Vizuizi vya COVID-19 vinabadili majukumu ndani ya familia?

Baba afanya mazoezi pamoja na mwanawe mjini Melbourne Source: AAP
Jukumu la baba katika maisha ya familia inapitia mageuzi, wengi wao kwa sasa wakifanyia kazi nyumbani wakati wa vizuizi vya coronavirus.
Share