Vizuizi vipya vyawasilishwa kukabiliana na usambaaji wa virusi vya corona

Mteja aagiza kinywaji katika mgahawa

Mteja agiza kinywaji katika mgahawa, ambao ni moja ya biashara zilizo athirika kwakufungwa kukabiliana na virusi vya corona Source: AAP

Vizuizi vipya vyakupunguza usambaaji wa virusi vya corona, vilianza kutekelezwa kuanzia jumatatu tarehe 23 Machi .


Hatua hizo zita sababisha baadhi ya biashara kufungwa, baadhi ya biashara hizo zikijumuisha migahawa, baa na vyumba vyakufanyia mazoezi.

Ila huduma muhimu kama masoko namabenki yata endelea kuwa wazi.


Share