Vizuizi vipya vya Coronavirus vya athiri biashara jimboni Victoria, wakati maambukizi yakiongezeka

Melbourne lockdown, COVID-19

Evden çalışabilecek Melbourneluların yine evden çalışması isteniyor. Source: (AAP Image/Erik Anderson

Wakazi wa jimbo la Victoria wame anza kuishi chini ya masharti makali ya vizuizi kwa muda wa siku tano, wakati mamlaka wanafanya kazi kuzuia usambaaji wa aina ambukizi ya COVID-19 kutoka Uingereza.


Safari za ndege zakimataifa zimesimamishwa kwa muda, wakati mfumo wa karantini ya hoteli unakabiliwa na ukosoaji.

Kuna wito pia kwa biashara zipokee msaada kufunika hasara zitakazo pata, katika wikendi ya siku yawapendanao pamoja nakatika sherehe za mwaka mpya wakichina.

Kwa hatua za afya na msaada, ambazo zimewekwa kujibu janga la COVID-19 katika lugha yako, tembelea tovuti hii sbs.com.au/coronavirus


Share