Vivutio vyakifedha vyapendekezwa kabla ya bajeti ya taifa kutangazwa

Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrison (kulia) na Mweka hazina wa Australia Josh Frydenberg wawasili bungeni

Waziri Mkuu wa Australia Scott Morrison (kulia) na Mweka hazina wa Australia Josh Frydenberg wawasili bungeni Source: AAP

Ni takriban wiki mbili kabla ya bajeti ya taifa kutolewa, na uvumi unaendelea kuongezeka kuhusu jinsi serikali inapanga kuongoza nchi hii kutoka mfumuko wa uchumi.


Hali hiyo imejiri wakati malipo yamisaada yamamilioni yawa Australia, yanatarajiwa kupunguzwa katika wiki moja.

Waziri Mkuu Scott Morrison tayari ameomba juhudi inayo ongozwa na gesi, ichukuliwe kabiliana na mfumuko wa uchumi.

Wakati huo huo waziri wa nishati Angus Taylor, anatarajiwa kuweka wazi mwelekeo huo, katika ramani ya barabara ya teknolojia ambayo atatangaza tarehe 22 Septemba 2020.


Share