VIVA: Kusafiri kwa kujitenga

Wakaazi katika makaazi yawazee, watumia teknolojia kufanya ziara

Wakaazi katika makaazi yawazee, watumia teknolojia kufanya ziara Source: Supplied

Wakati utalii ndani ya nchi ukiwa umeshuka kwa bilioni $21.7, ikilinganishwa na mwaka jana, mwaka wa 2020 si kama mwaka mwingine katika ulimwengu wa utalii.


Ila kama mipango yako ya safari imevurugwa, maendeleo yakiteknolojia kwa sasa yanaweza ruhusu dunia ije maramoja kwako.

Pigia simu shirika la Be Connected kupitia namba hii 1300 795 897 au, tembelea tovuti yao beconnected.esafety.gov.au kwa taarifa za bure kwa jinsi yakutumia mtandao.

Kama unahitaji huduma ya mkalimani, pigia simu shirika la huduma laukalimani na utafsiri, kwenye namba hii 13 14 50, kwanza kisha uta unganishwa na shirika unalo hitaji katika lugha yako.


Share