Ila hali ya uharibifu wa milipuko ya virusi imeacha baadhi yawamiliki katika hali ngumu, na wengi wao wana nia yakujiondolea mizigo yao.
Je huu niwakati mzuri wakununua bishara? kulingana na baadhi ya watu, ukiwa na mikakati sahihi pamoja nakuweka mipango tayari, unaweza pata bei nafuu.
Kwa taarifa ya ziada kuhusu jinsi yakuanzisha biashara, wasiliana na msimamizi wa biashara ya familia na biashara ndogo ya Australia kwenye namba hii 1300 650 460, kuanzia mida ya mbili asubuhi hadi saa mbili usiku kitaifa, kila jumatatu hadi ijumaa.