VIVA: Kujipa ujuzi mpya wakati wa COVID-19

Watu wapata mafunzo mapya

Watu wapata mafunzo mapya Source: Getty Images

Maambukizi ya coronavirus nchini Australia yamepungua ila, baadhi ya vizuizi vinaendelea kusalia, na watu wengi wanaendelea kubaki nyumbani.


Bila uhuru wakutangamana katika shughuli tunazo penda, ni kwanini usitumie muda huu, kujifunza ujuzi mpya wakitaalam au hata kufanya vitu ambavyo ulipenda zamani?

Kwa taarifa za ziada kuhusu jinsi unaweza pata ujuzi wakidijitali au jinsi unaweza pata msaada, tembelea tovuti hii: http://beconnected.esafety.gov.au/


Share