VIVA: Jinsi yakuchukua mapema mafao ya uzeeni

Mzee wakiume afanya usafi

Mzee wakiume afanya usafi Source: Getty Images

Uharibifu wa kiuchumi unaosababishwa na vizuizi vya COVID-19 umewaona zaidi ya Waaustralia milioni tatu wakitumbukia kwenye akiba yao ya uzeeni.


Iwe unahitaji nyongeza hiyo ya ziada kwa pesa taslimu au la, wataalam wa kifedha wanasema bado ni wakati mzuri wa kukagua hali ya akaunti yako ya malipo ya uzeeni.

Angalizo: Maoni katika makala hii ni ushauri wa jumla tu na hayatumiki kwa hali ya mtu binafsi. Ili kutafuta ushauri, zungumza na mtaalamu wa kifedha aliyehitimu au piga simu kwa Nambari ya bure ya Msaada wa Madeni ya Kitaifa kwa ushauri wa kifedha kupitia 1800 007 007.

Kwa taarifa za bure za kifedha katika lugha yako, wasiliana na Huduma ya Taarifa za Kifedha ya Australia kwa namba 131 202. Ikiwa kitambulisho chako kimeibiwa, wasiliana na IDCARE kupitia 1800 595 160.


Share