Kuahirishwa kwa misimu hiyo, nikatika sehemu ya juhudi zakudhibiti usambaaji wa virusi vya corona nchini Australia.
Hata hivyo viongozi wa michezo ya Olimpiki, ambao wamekuwa wakijivuta kutoa maamuzi iwapo michezo hiyo mjini Tokyo, Japan ita ahirishwa au la wamejipata mahali pagumu.