Utafiti wa kituo cha watumiaji sera na utafiti, unaonesha kati ya mwezi Mei na Julai, vijana nchini Australia wanategemea zaidi mikopo au kukopa hela kutoka kwa wengine.
Iwapo unakabiliwa kwa matatizo yakifedha, tembelea tovuti hii: www.moneysmart.gov.au au pigia simu shirika lakitaifa linalo toa msaada wa deni: 1800 007 007.