Kiongozi wa jimbo hilo Daniel Andrews alitangaza kuwa vizuizi vingi vita ondolewa, baada ya jimbo la Victoria kutorekodi visa vyovyote vipya pamoja nakuto kuwa na vifo.
App ya serikali ya shirikisho ya ufuatiliaji ya coronavirus, imesaidia kupata visa 17 tu ambavyo havijatambuliwa katika miezi sita, visa hivyo vyote vilikuwa jimboni New South Wales. App hiyo ya COVIDSafe yenye gharama ya milioni mbili, imekosolewa vikali kwakuto tambua visa vingi zaidi.
Na unaweza endelea kupata taarifa mpya kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii sbs.com.au/coronavirus