Victoria lawajimbo lakwanza kurejesha vizuizi vya COVID-19

Victorian Premier Daniel Andrews and Victorian Health Minister Jenny Mikakos.

Victorian Premier Daniel Andrews and Victorian Health Minister Jenny Mikakos. Source: AAP

Jimbo la Victoria linarejea tena katika vizuizi vikali vyakudhibiti maambukizi ya coronavirus, baada ya ongezeko lingine la visa vya maambukizi kuripotiwa katika jimbo hilo.


Jimbo hilo nilakwanza nchini kuchukua mwelekeo tofauti namajimbo mengine, kwakuto regeza vizuizi wakati kunaongezeko la hofu kuhusu wimbi la pili la COVID-19.

Na unaweza endelea kupata taarifa mpya, kuhusu coronavirus katika lugha yako kwenye tovuti hii sbs.com.au/coronavirus


Share