Anzac Day imekuwa ishara ya utambulisho wakitaifa wa Australia.
Maana ya Anzacs ni kikosi cha wanajeshi wa Australia na New Zealand, kikosi hicho kinajumuisha wanajeshi wengi wakike na wakiume waki Aboroginal pamoja na wanajeshi kutoka tamaduni mbalimbali.