Utofauti wa tamaduni zawa Anzacs wa Australia

ANZAC DAY

Wanajeshi wasimama wima, kwenye ibada ya alafajiri ya Anzac Day, mjini Canberra ACT. Source: AAP

Kila mwaka tarehe 25 Aprili, huwa tuna adhimisha Anzac Day, ni siku ambapo tunawakumbuka walio hudumu nakufia vitani.


Anzac Day imekuwa ishara ya utambulisho wakitaifa wa Australia.

Maana ya Anzacs ni kikosi cha wanajeshi wa Australia na New Zealand, kikosi hicho kinajumuisha wanajeshi wengi wakike na wakiume waki Aboroginal pamoja na wanajeshi kutoka tamaduni mbalimbali.

Kwa taarifa ya ziada kuhusu tamaduni za Anzac Day za Australia, tembelea tovuti ya kumbukumbu ya vita ya Australia: https://www.awm.gov.au


Share