Bw Jay ni mmoja wa wazazi nchini, ambaye aliamua kuwaandalia wanawe nafasi yakusomea nyumbani, baada ya ongezeko ya visa vya uambukizaji wa virusi vya corona jimboni NSW.
Binti wake wawili, wamechangia na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, uzoefu wao wakusomea nyumbani wakiulinganisha nakusomea shuleni.