"Tunawasiwasi kuhusu coronavirus, lakini tumezoe kukabiliana na majanga kama haya"

Source: AAP
Janga la virusi vya corona linaendelea kuzua hofu duniani kote, je jamii zawatu kutoka Mashariki ya Afrika na Afrika yakati wamejiandaaje kukabiliana na janga hili?
Share