Tshaka Tshaks ni mchekeshaji nchini Australia ambaye ana asili ya Kenya.
Alipozungumza na Idhaa ya Kiswahili ya SBS Bw Tshaks, aliweka wazi jinsi Coronavirus imeathiri kazi yake kama mchekeshaji, aliweka wazi pia hatua ambazo amechukua kujinusuru toka janga hilo.