Waziri wa afya Greg Hunt amesema kuendelea kuwa na viwango vichache vya maambukizi ya coronavirus nchini Australia vinatia moto.
Taarifa za habari: Wafungwa 3,973 waachiliwa huru Tanzania

Rais Magufuli atao hotuba Source: Ikulu Tanzania
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, Jumamosi alitoa msamaha kwa wafungwa wapatao 3,973 na kuwaachilia huru wakati wa maadhimisho ya miaka 56 ya muungano wa Tanzania.
Share