Taarifa za habari: Majimbo nchini Australia yaanza kuondoa vizuizi vya coronavirus

Mwanaume aendesha baiskeli, karibu ya watu wanao changia chakula.

Mwanaume aendesha baiskeli, karibu ya watu wanao changia chakula. Source: AAP

Kuanzia Ijumaa tarehe 15 Mei jimbo la New South Wales, lita anza kuinua vizuizi zaidi vya coronavirus.


Jimbo la Queensland lina naibu kiongozi na mweka hazina mpya baada ya Jackie Trad kujiuzulu. Bi Trad alifanya tangazo hilo jana Jumamosi kuwa, anajiuzulu kwa sababu ya uchunguzi wa mchunguzi wa ufisadi wa jimbo hilo, kuhusu kuteuliwa kwa mwalimu mkuu wa shule katika eneo bunge lake.

Rais wa zamani wa Marekani Barack Obam amemkosoa vikali Rais Donald Trump kwa namna anavyoshughulikia janga la corona.

Shirika la Afya Duniani (WHO) Ijumaa limeonya kuwa watu 190,000 wanaweza kupoteza maisha mwaka 2020 barani Africa, iwapo serikali zitashindwa kudhibiti maambukizi ya virus vya corona.


Share