Chama cha upinzani cha shirikisho kimedokeza panastahili kuwa makato, kwa idadi ya wafanyakazi wakigeni wa muda wanao ruhusiwa kuja Australia.
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli leo Jumapili Mei 3 amesema atatuma ndege nchini Madagascar, kufuata dawa ya mitishamba ambayo rais wa nchi hiyo anadai kuwa inatibu corona.
Mahakama ya juu nchini Israel leo imeanza kusikiliza pingamizi juu ya iwapo waziri mkuu Benjamin Netanyahu anayekabiliwa na mashtaka ya rushwa anaweza kuruhusiwa kuunda serikali mpya.