Serikali ya NSW imeziundua kampeni mpya ya umma ya uelewa wa ubaguzi wa rangi, kwa ajili yakuwasaidia waathiriwa wa visa vya ubaguzi wa rangi kuelewa haki zao.
George Floyd, Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 46 ambaye mauaji yake na polisi mweupe yamembadilisha kuwa picha ya ulimwengu ya mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi, atazikwa leo mjini Houston, Texas ambako alikulia.
Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA Freeman Mbowe amevamiwa na kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake jijini dodoma.