Australia yahimizwa kuchukua hatua juu ya matatizo ya afya akili huku ikitabiliwa shida hiyo kuongezeka mara tatu ulimwenguni ifikapo 2050
Na nchini Tanzania, Rais Samia afanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri
Na taarifa kutoka Ethiopia zinasema, makumi wauawa katika shambulio la anga katika kambi, huko Tigray.
MICHEZO
Novak Djokovic alikuwa na COVID-19 kabla ya kuwasili Australia, karatasi za korti zinaonyesha