Taarifa ya habari 8 Agosti 2021

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Dereva wa texi, ameingiza mji wa Cairns na maeneo yakaribu katika vizuizi vikali vya kudhiti usambaaji wa maambukizi ya COVID-19 ndani ya jamii.


Jimbo la New South Wales, lina endelea kurekodi ongezeko ya visa vya maambukizi ya virusi vya Coronavirus ndani ya jamii pamoja na kifo kimoja.

Mapigano makali yamezuka ndani ya chama cha SPLA-IO cha naibu rais wa Sudan Kusini, Riek Machar. Mapigano hayo yalizuka Jumamosi baada ya mahasimu wa Bw Machar ndani ya chama chake, kutangaza kuwa wame muondoa madarakani.


Share