Nchini Australia, wanawake Wahamiaji na Wakimbizi wavunja ukimya,
Wakati katika Habari za Kimataifa, Jamaa ya waliopoteza maisha kwa ndege iliyodunguliwa MH17 waishtumu Urusi kuhusika.
Na huko Sudan Kusini, sasa wanaume mil 1.5 kutahiriwa.
Wakati katika Michezo tunaarifiwa kuwa, mchezaji afariki baada ya kuwa kwenye koma kwa miaka 39.
Zaidi gonga kiunganisho hapo juu kusikiliza taarifa nzima.