Serikali ya Misri yawakamata madaktari wanaokosoa hali ya maambukizi ya COVID-19 nchini humo, na wafanyakazi wengine wa afya wanasema wameonywa na viongozi wao kukaa kimya au kuadhibiwa.
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, Jumatatu alitangaza kuanza tena shughuli za kawaida nchini, wakati serikali ikichukua hatua ya kulegeza masharti ya COVID-19.