Taarifa ya Habari 6 Julai 2021

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Kiongozi wa jimbo la New South Wales Gladys Berejiklian, amesema wakaaji wa Sydney na viunga vyake, wata pata taarifa Jumatano iwapo makatazo yao yata ongezwa zaidi ya Ijumaa.


Jimbo la NSW limerekodi kesi mpya 18 za COVID-19 katika masaa 24 yaliyo pita, kesi saba zikiwa ndani ya jamii kwa angalau kwa muda ambao zilikuwa ambukizi.

Kesi 16 kati ya hizo kesi mpya zili ungwa kwa kesi isiyo julikana au mlipuko, watu wakaribu tisa wakesi za kabla mbili zikiwa chini ya uchunguzi.

Polisi nchini Afrika Kusini wamekuwa wanasubiri amri ya mahakama Jumatatu iwapo wamkamate Rais wa zamani Jacob Zuma aliyepewa kifungo cha miaka 15 jela kwa kukaidi amri ya mahakama. Mahakama ya juu ya nchi hiyo wiki iliyopita ilitoa hukumu hiyo kwa Zuma na kumwamrisha kufika jela ifikapo Jumapili jioni ili aanze kutumikia kifungo hicho.

 


Share