Taarifa ya habari 5 Julai 2020

Bango la taarifa ya habari la SBS

Bango la taarifa ya habari la SBS Source: SBS

Watu ambao wako ndani ya karantani ya lazima mjini Melbourne, kupewa msamaha wa kodi za nyumba, pamoja na misaada mingine toka kwa serikali yajimbo hilo.


Zaidi ya watu 52 wameuawa katika jimbo la Oromiya nchini Ethiopia katika maandamano ya kupaza sauti dhidi ya mauaji ya mwanamuziki Haacaaluu Hundeessaa

Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Kenya, imeongezeka na kufikia 7,577 baada ya wagonjwa 389 wapya kuthibitishwa.


Share