Hofu ya mlipuko mwingine mbaya jumba la Newmarch mjini Sydney baada ya vipimo vya mfanyakazi kuonyesha ana virusi wakati huo huo Milipuko ya COVID-19 Australia yapamba moto na kuvuka zaidi ya 500,000 tangu janga kuanza.
Na katika Habari za Kimataifa, Spika wa Bunge Tanzania amuomba radhi Rais Samia na Wananchi.