Taarifa ya Habari 26 Disemba 21

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Simanzi yatawala kifo cha Askofu Mkuu Desmond Tutu aliyefariki akiwa na umri wa miaka 90. Rais Cyril Ramaphosa asema, "Kufariki kwa Askofu huyo ni sura nyingine ya msiba katika kuaga taifa la kizazi cha watu mashuhuri wa Afrika Kusini ambao wamewaachia urithi wa nchi hiyo uliokombolewa,"


Kitaifa:

-          Zaidi ya watu 400 walio na COVID-19 waliambiwa kimakosa kuwa wamepimwa hawana

-          Huduma za upimaji wa COVID-19 PCR vyaelemewa, Waziri Mkuu aonya, huku jimbo la NSW likirekodi maambukizo mapya 6,394

Kimataifa:

-          Makumi kwa maelfu waandamana kupinga mapinduzi kote Sudan


Share