Australia Magharibi itafungua tena mpaka wake na Australia Kusini kuanzia saa sita usiku wa mkesha wa sikukuu ya Krismasi.
Watu wanne wameshtakiwa kwa kusababisha moto ambao ulienea sana kwenye Kisiwa cha Fraser.
Na Rwanda yaimarisha usalama Afrika ya Kati.