Taarifa ya habari 20 Disemba 2020

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

Chama cha Nation chaomboleza kuondokewa na kiongozi wake wa zamani Doug Anthony


Kaimu Mganga Mkuu wa Australia, asema jimbo la NSW limejipanga vilivyo na hali mbaya ya Corona iliyozuka nchini

Waziri Mkuu Scott Morrison awahimiza wananchi kutokuwa na wasiwasi juu ya COVID-19 wakati huu wa sikukuu

 

Wakazi Sydney waendelea kupoteza maelfu ya Akiba za fedha kutokana na utapeli kwenye simu


Share