Taarifa ya habari 19 Januari 2021

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS Swahili

NSW yatangaza kutokuwa na virusi vya Corona kwa siku ya pili mfululizo


Muungano wa wafanyabiashara ndogondogo waililia serikali kubadilisha sheria za 'JobKeeper'

Na wakati huo huo Waziri Mkuu adai uzoefu wa nchi zingine utasaidia katika chanjo ya Corona hapa nchini.


Share